Mlezi wa ETA pia amewashauli vijana kuwa makini na kuwa waaminifu katika maisha yao ,pia kudunisha upendo na aman miongoni mwao,amesema hayo huku akitoa mifano hai juu ya maisha yake na changamoto alizopitia.
Wakielezea kwa furaha juu ya tukio hilo wanachama na
viongozi walitoa shukulani zao za zati kwa mlezi huyo ,pia kumshukulu Mwenyekiti
kwa kutimiza lengo la kuwa na ofisi yao.
Wakipongezana ofisin hapo wanachama wame toa haadi
mbalimbali ikiwemo kudumisha ushirikiano na mshikamano miongoni mwao ,pia
kuendeleza kwa umakini miradi yote ya
ETA.
ETA inakaribisha vijana wengine kujiunga nao ili kuendeleza
kutoa Elimu ya urahia,uchumi na kujitegemea kwa jamii .Pia ETA inatalajia kutoa
semina ya ujasiliamali ,uchumi ,urahia na kujitegemea kwa vijana hapa dar es salaam.